Wakala wa M-PESA
Miembeni Unguja Zanzibar Bw.Salum Omar (kushoto)akipokea cheti cha
utambuzi na fedha kiasi cha shilingi 100,000 toka kwa Meneja wa Vodacom
Zanzibar
Mohamed Mansour,alijishindia fedha hizo katika Promosheni ya “Mkwanja kwa Wakala”
yenye lengo la kuboresha maisha ya mawakala wa kampuni ya
Vodacom Tanzania.Kampuni hiyo imetenga kiasi cha fedha cha Shilingi
Milioni 810 mahususi kwa mawakala wake, ikiwa ni sehemu ya kutambua na
kuthamini Mchango wao kwa jamii ya watanzania na kampuni hiyo.
Wakala wa M-PESA
Gizenga Street Miembeni Unguja Zanzibar Bw.Joseph
Kisali(kushoto)akipokea hundi yenye thamani ya shilingi 100,000 toka kwa
Meneja wa Vodacom Zanzibar Bw.Mohamed
Mansour,alijishindia fedha hizo katika Promosheni ya “Mkwanja kwa Wakala”
yenye lengo la kuboresha maisha ya mawakala wa kampuni ya Vodacom
Tanzania.Kampuni hiyo imetenga kiasi cha fedha
cha Shilingi Milioni 810 mahususi kwa mawakala wake, ikiwa ni sehemu ya
kutambua na kuthamini Mchango wao kwa jamii ya watanzania na kampuni
hiyo.
Meneja wa Vodacom Zanzibar Bw.Mohamed Mansour(kulia)akimkabidhi hundi yenye thamani ya shilingi
100,000 wakala wa M-PESA Mwanakwerekwe Unguja Zanzibar Bw.Ali Mohamed alijishindia fedha hizo katika Promosheni ya “Mkwanja kwa Wakala”
yenye lengo la kuboresha maisha ya mawakala wa kampuni ya Vodacom
Tanzania.Kampuni hiyo imetenga kiasi cha fedha
cha Shilingi Milioni 810 mahususi kwa mawakala wake, ikiwa ni sehemu ya
kutambua na kuthamini Mchango wao kwa jamii ya watanzania na kampuni
hiyo.
Meneja wa Vodacom Zanzibar Bw.
Mohammed Chanila(kushoto)akimkabidhi hundi yenye thamani ya shilingi 100,000 wakala wa M-PESA Nassor shop Kagongwa
Kahama Bi.Jesca Silas alijishindia fedha hizo katika Promosheni ya “Mkwanja kwa Wakala”
yenye lengo la kuboresha maisha ya mawakala wa kampuni ya Vodacom
Tanzania.Kampuni hiyo imetenga kiasi cha fedha cha Shilingi Milioni 810
mahususi kwa mawakala
wake, ikiwa ni sehemu ya kutambua na kuthamini Mchango wao kwa jamii ya
watanzania na kampuni hiyo.
Wakala wa M-PESA
Kibaigwa Kongwa, Mpwapwa Bw. Victor Moses Nnko,akiwa amepozi na hundi yake yenye thamani ya shilingi
100,000 aliyojishindia katika Promosheni ya “Mkwanja kwa Wakala”
yenye lengo la kuboresha maisha ya mawakala wa kampuni ya Vodacom
Tanzania.Kampuni hiyo imetenga kiasi cha fedha cha Shilingi Milioni 810
mahususi kwa mawakala wake, ikiwa ni sehemu ya
kutambua na kuthamini Mchango wao kwa jamii ya watanzania na kampuni
hiyo.
No comments:
Post a Comment