22.11.13

Tuesday, October 15, 2013

(News) Msanii huyu wa Hip Hop kutoka BONGO ala mkataba na PEPSI

Kala Jeremiah msanii mwenye tunzo 3 za hip hop kutoka Kili Music Award 2013 leo amekula mkataba wa miezi 6 kutoka kampuni ya PEPSI kama balozi wa soda hiyo. Kala amesema mkataba huo ameufurahia sana na amejisikia faraja sana. Sasa tutaanza kumuona kwenye matangazo ya Pepsi pamoja na mabango ya barabarani.

No comments: