Mwanadada Cindy Rulz hivi karibuni anatarajia kuachia ngoma yake mpya
kabisa akiwa amemshirikisha producer mkongwe hapa Tanzania Dunga. Ngoma
inakwenda kwa jina la LET`S WAIT kitu ambacho kimepikwa na vichwa
viwili katika music production Dunga na Lamar toka Fishcrab cook out.
Endelea kuwa nasi kupata mengi zaidi juu ya mwandada huyu au pia waweza
kumfuata Instagram na Twitter @cindyrulz.
No comments:
Post a Comment