22.11.13

Wednesday, October 30, 2013

(News) NARUDI DENMARK KUISHI NA FAMILIA YANGU "JCB"

Mtu mzima JCB hivi sasa yuko njiani anaelekea Nairobi tayari kwa safari yake ya kwenda Denmark kuishi na familia yake. JCB ameongea na DJCHOKAblog kwa njia ya simu akitokea Arusha akielekea Nairobi kwaajili ya kupanda ndege itakayompeleka hadi Amsterdam halafu Denmark. Alipoulizwa kuhusu atarudi lini JCB alijibu bado hajafikiria labda mwakani ndio atarudi ila atakaa kaa sana huko Denmark na mke wake pamoja na mtoto wao mmoja waliompata.

No comments: