22.11.13

Thursday, October 17, 2013

(News) NAY WA MITEGO ameingia katika tuzo hizi mbili nchini KENYA

Thnx kwa mashabiki na media zote zina nazo sapoti muziki wangu #966. Nimeingia katika tunzo nchini kenya katika category mbili wimbo bora wa mwaka East Africa ambao ni Muziki Gani category ya pili Msanii bora wa kiume Tanzania. #966 tuombe Mungu izi zote mbili tuchukue.. Siku ya tuzo ni tarehe 23 mwezi 11..!!

2 comments:

Anonymous said...

Safi Nay,wataelewa tu

Anonymous said...

Safii sanaaa ney....