Thnx kwa mashabiki na media zote zina nazo sapoti muziki wangu #966. Nimeingia
katika tunzo nchini kenya katika category mbili wimbo bora wa mwaka East Africa ambao ni Muziki Gani category ya pili Msanii bora wa kiume Tanzania. #966 tuombe Mungu izi zote mbili tuchukue.. Siku ya tuzo ni tarehe 23 mwezi 11..!!
2 comments:
Safi Nay,wataelewa tu
Safii sanaaa ney....
Post a Comment