22.11.13

Thursday, October 31, 2013

(News) New Music from Wakazi: WANAWAKE WA DAR (Love Hate Freestyle) dropping TODAY

Wimbo mpya wa WAKAZI alioupa jina la WANAWAKE WA DAR (Love Hate Freestyle) naambiwa kuwa mzigo unadondoka leo hii hii. Sijui alichokisema humo ndani kuhusu hawa wanawake wa dar ila mimi na wewe tukae mkao wa kula tusubiri halafu tuone. Wee endelea kupita pita hapa nikitumiwa tu basi nitauweka hapa DJCHOKAblog.

No comments: