22.11.13

Friday, October 11, 2013

(News) the PlayList with Mafikizolo Oct 13

the PlayList @ Times fm 100.5 jumapili hii ifanya show na wakali wa goma la Khona kutoka Afrika Kusini Mafikizolo.

watacheza ngoma 5 wanazozikubali, watazungumzia historia yao na vipendele walivyoingia katika tuzo za Channel O, MtvEMA na MoboAwards UK. Ni kuanzia Saa 10 jioni mpaka Saa 11 kamili jioni na Lil Ommy (Omary Tambwe) Nyumbani ni Nyumbani.

No comments: