22.11.13

Saturday, October 05, 2013

(News) PROTOCOL Movie inayosubiriwa na wengi Tanzania

 PROTOCOL (Agent Of Death) hii ni movie mpya ya kibongo inayotarajiwa kutoka siku za usoni kidogo, ukizungumzia mabadiliko yanayokuja katika Bongo Movie hii basi itakuwa moja kati ya bonge moja la movie kuanzia watu waliocheza ndani ya movie hii pamoja na editing zilizofanyika mpaka kuwa yenye ubora wakutizamwa na watu tofauti tofauti. Adam Juma akiwa kama Direct pamoja na mwigizaji atakayeonekana kwenye hii movie amesema alichukuwa mda mrefu na kutuliza kichwa na kuamua kuandaa kitu kama hiki, mbali na yeye wapo watu maarufu walionekana kama Eddy Juma, Mapacha Magenge na pia bila kumsahau video queen Hamisa ameonekana kwenye movie hii na wengine wengi so stay tune.... INAKUJA


No comments: