22.11.13

Tuesday, October 15, 2013

(News) Unga ni moja ya vitu nimekua nikiogopa sana maana hakuna hata mtu yoyote wa karibu yangu niliyeona akitumia "YOUNG DEE"

Nimezaliwa Dar es salaam.. Mambo kibao nimepitia (+vity100%) ukichangia mazingira nliyokulia nmejifunza na kuona mambo mengi.. #bangi #pombe hata #sigara hayo ni mambo nmeona watu wangu wengi hata wa karibu wakitumia mfano mzuri alikua #babaAngu mzazi akitumia ( R.I.P) ila kuhusu Unga Ni moja ya vitu nimekua nikiogopa sana maana hakuna hata mtu yoyote wa karibu yangu niliyeona akitumia, zaidi nilichoona ni wote waliotumia hamna hata mmoja kati yao alietumia hayo madawa akafanikiwa.. nachohitaji kuwajulisha watu wangu wote ni kwamba imani yenu kwangu kuhusu kijitambua isishuke kwa chochote mtakaacho sikia ila zote zinaweza kua FUnunu tu! Stay tune.

2 comments:

Anonymous said...

hakuna hata mmoja unayemuongopea unajiongopea mwenyewe kwataalifa yako. wote waliokuwa wakiambiwa kama wewe walikuwa wanakata mwisho wasiku walikubali nawewe utakubaritu muda bado.

Anonymous said...

Pole xana nakumbuka kuwa ata marehem Albert Mangweha alisha wah ojiwa kuhusu matumiz ya unga lkn alikana cjui yaeza kua ata ww mana hk ni k2 cha aibu apo umebug kama ni ivyo bro unga hauna faida!
By Dj