22.11.13

Wednesday, October 30, 2013

(News) WATEJA 50 WAONDOKA NA BODABODA ZA VODACOM

 Meneja Uhusiano wa Vodacom Tanzania,Bw.Matina Nkurlu,akionesha moja ya namba ya simu ya mshindi aliejishindia Pikipiki katika promosheni ya"Timka na Bodaboda"inayoendeshwa na Vodacom Tanzania,Jumla ya washindi(50)wamejishindia Pikipiki na wengine(22)wamejinyakulia shilingi Milioni moja moja.Ili kujiunga na promosheni hii TUMA NENO PROMO kwenda 15544,anaeshuhudia kushoto ni Afisa wa huduma za ziada wa kampuni hiyo Rashid Maggid na kulia ni Msimamizi wa bodi ya  Michezo ya kubahatisha nchini,Bw.Abdallah Hemedy.

 Meneja Uhusiano wa Vodacom Tanzania Bw.Matina Nkurlu akiongea na simu na mmoja wa washindi wa promosheni ya"Timka na Bodaboda"aliejishindia pikipiki, Jumla ya washindi(50)wamejishindia Pikipiki na wengine(22)wamejinyakulia shilingi Milioni moja moja.Ili kujiunga na promosheni hiyo TUMA NENO PROMO kwenda 15544.Kushoto ni Afisa wa huduma za ziada wa kampuni hiyo Rashid Maggid na kulia ni Msimamizi wa bodi ya  Michezo ya kubahatisha nchini,Bw.Abdallah Hemedy.

Msimamizi wa bodi ya  Michezo ya kubahatisha nchini,Bw.Abdallah Hemed(kulia)akionyeshwa na  Meneja Uhusiano wa Vodacom Tanzania,Bw.Matina Nkurlu(katikati)namba ya simu ya mshindi wa Promosheni ya "Timka na Bodaboda"Jumla ya washindi(50)wamejishindia Pikipiki na wengine(22)wamejinyakulia shilingi Milioni moja moja.Ili kujiunga na promosheni hii TUMA NENO PROMO kwenda 15544,kushoto ni Afisa wa huduma za ziada wa kampuni hiyo Rashid Maggid.

No comments: