22.11.13

Sunday, October 27, 2013

(News) Balozi ISAAC ABRAHAM SEPETU amefariki dunia leo katika hospital ya TMJ Mikocheni jijini DSM

Pichani ni mama yake Wema pamoja na mtoto wao Wema na marehemu Mzee Sepetu

Balozi Abraham Isaac Sepetu amefariki dunia mapema leo akiwa katika hospitali ya TMJ alikokuwa amelazwa akitibiwa ugonjwa wa Kisukari na kiharusi alioupata hivi karibuni mjini Zanzibar. Balozi Sepetu, ambaye pia ni baba mzazi wa Miss Tanzania 2006, Wema Isaac Sepetu, hadi anapatwa na ugonjwa na hatimaye mauti alikuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Uwekezaji wa Vitega Uchumi Zanzibar.

No comments: