22.11.13

Saturday, October 05, 2013

(News) Wimbo wa GOSBY "BMS" umeingia kwenye Mixtape ya COST 2 COST Vol 251 ya nchini MAREKANI.

 Piga kura yako sasa kuchagua wimbo huu wa GOSBY unaoitwa BMS ili uingie katika Mixtape ya Cost 2 Cost 251 ambayo inaendeshwa na msanii wa Marekani anajulikana kwa jina la PLIES. ili kupiga kura hiyo basi itakulazimu kuingia kwenye link hii http://t.co/rfNAMtAalM

No comments: