22.11.13

Thursday, October 03, 2013

Nicko P - Changamka Album Now Available


 Msanii aliyefahamika sana kupitia wimbo wake wa Muziki Hisia, Nicko P ambaye wengi walikua wanamtambua kama mmoja ya wasanii wanaounda kundi la Worriors From The East baada ya kuamua kufanya kazi ya muziki binafsi sasa amekamilisha album yake inayoitwa Changamka
 album imebeba nyimbo nane,akiwa ameshirikiana na wasanii kama Soulji na Kanashi toka Virgin Islands,imetengenezwa Grandmaster Records na Fnouk Studio Arusha chini ya producers Alex, John B na Mr D, kujua zaidi, kwa interview au kupata copy yako wasiliana na Nicko P +255765378112 au John B +255787276352


John Blass Mallya
For, 
    Grandmaster Records, Cannibal Shattah & Makini Music

    +255787276352+ 255754201643+255715201643, + 254729990851
www.grandrecs.com
www.prezzomusic.com

No comments: