22.11.13

Wednesday, October 30, 2013

P-Square Live In Dar - Nunua Tiketi Yako SASA!

WAHI SASA na ununue tiketi yako kwa Tshs. 30,000/= tu kupitia M-PESA uokoe usumbufu wa kulipa zaidi dukani au getini na upate muda wa maongezi wa Sh 1,000/= BURE.

1. - Piga *150*00# kupata MENYU ya M-PESA

2. - Chagua LIPA KWA M-PESA

3. - Ingiza NAMBA YA MALIPO ambayo ni 111222

4. - Ingiza kiasi unacholipia: TSh 30,000/= kwa tiketi moja.

5. - Weka NAMBA YAKO YA SIRI ya M-PESA kisha Bonyeza OK.

Utapokea ujumbe Mfupi wenye kumbukumbu ya Malipo. Utachukua tiketi yako kuanzia tarehe 18 Nov kwenye sehemu zifuatazo: VODASHOP MLIMANI CITY, VODASHOP MASAKI, VODASHOP MILLENIUM TOWERS, VODASHOP SAMORA na VODASHOP QUALITY CENTER.

KUMBUKA: Ukilipa kwa M-PESA ni Sh 30,000/= na mwisho wa kuuza tiketi kwa M-PESA ni tarehe 17 Nov, kuanzia tarehe 18 Nov tiketi zitauzwa DUKANI kwa Tshs. 35,000/= mpaka tarehe 23 Nov saa 10 jioni, na ukilipa getini siku ya tamasha, tiketi itauzwa kwa TShs 50,000/=.

KAZI NI KWAKO!

No comments: