22.11.13

Friday, October 04, 2013

(Photo) Angali jinsi wezi walivyotaka kumliza JAFFARAI

Katika ukurasa wake wa IInstagram msanii anayewakilisha kundi la WATEULE wengi tunamjua kwa jina la Jaffarai usiku wa kuamkia leo wezi walijaribu kutaka kumuibia vifaa vya gari lake lakini wakagonga mwamba na kukimbiza. Angalia status aliyoiandika dakika chache zilizopita

No comments: