22.11.13

Friday, October 11, 2013

(Photo) Cheki gari hii mpya aliyoinunua msanii RICH MAVOKO

Kupitia account yake ya Instagram msanii mkali wa bongo fleva anayeteka mabinti wengi mjini hapa amewaonyesha mashabiki wake gari yake mpya aliyoinunua. Gari hii ya Nissan ingawa sikuweza kujua kwa haraka haraka ni Nissan gani ameonekana akifurahia manufaa ya kazi zake anazozifanya kupitia jukwaani na aina ya maandishi anayoyaandika ili tu kujipatia ridhiki. Mbali ya hili gari kununua mtu mzima Mavoko anafumua mjengo mmoja wa hatari ingawa nimeambiwa nisiseme kwanza sehemu uliopo hadi ukamilike na kuamia ndio atasema amehamia wapi.

No comments: