22.11.13

Monday, October 21, 2013

(Photo) Hili ndilo gari jipya la OMMY DIMPOZI kwa sasa

Mark X usafiri mpya kabisa wa msanii wa Bongo Fleva Ommy Dimpozi ukiwa hauna hata namba za usajili leo umekatika maeneo ya Jaffarai Car Wash maeneo ya Mikocheni na kupigwa sopu sopu.

1 comment:

Anonymous said...

Ajenge kwanza