22.11.13

Wednesday, October 30, 2013

(Photo's) Azam Media Tour

 Picha hizi ni baadhi tu ya matukio yaliyotokea siku ya uzinduzi wa AzamTV pale maeneo ya Tazara. Watanzani wasubiri mabadiliko makubwa katika runinga zao maana AzamTV imejipanga na iko vizuri kabisa kwaajili ya kutoa burudani nzuri sana. 

No comments: