22.11.13

Thursday, October 03, 2013

(Photo's) BABY MADAHA ndani ya hili gari lenye thamani ya MILLIONI MIA NA KUMI TANO

 Baby Madaha msanii aliyeibukia kutoka Bongo Star Search na kujiingiza kwenye Bongo Movie na sasa amerudi na kampuni yake mpya ya Candy n Candy Rec ambayo makazi yake yapo kule Nairobi Kenya. Madaha wakati anaongea na DJCHOKAblog amesema kamupuni hiyo ya Candy n Candy imemnunulia gari aina ya Audi TT lenye thamani ya Pound 46,000 kwa fedha ya bongo ni kama Mil mia na kumi na tano. Anasema gari hilo likiwa na Bullet Proof sehemu za madirishani ili kumwekea ulinzi tosha anapokuwa anakatiza maeneo ya katikati ya jiji la Nairobi.

3 comments:

DON LEON said...

I own this car!!na hiko home bongo imepaki waache uwongo pumbavu,,Malee

DON LEON said...

I own this car na iko home dar mabibo imepaki hebu waache uwongo pumbavu,,Malee

DON LEON said...

I own this car!!na hiko home bongo imepaki waache uwongo pumbavu,,Malee