22.11.13

Thursday, October 03, 2013

(Photo's) Behind The Scenes Rojo Mo ft Cannibal Killah Camp Coming Soon

 Hii ni ngoma ya kwanza kutoka Killah Camp,kundi ambalo lipo chini ya msanii Cannibal wa Kenya likisimamiwa na Producer John B toka Tanzania,tayari mpango wa video ushafanyika na mategemeo ni kudondosha mzigo jumatatu ya wiki inayokuja,zaidi hizi ni picha za Behind The Scenes ya video ya ngoma hiyo

No comments: