22.11.13

Thursday, October 03, 2013

(Photo's) DIAMOND ASHEREHEKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA NA FAMILIA YAKE

 Tofauti na bday ya mwaka jana alisherehekea na washkaji na watu mbali mbali, mwaka huu Diamond Platnumz ameamua kufurahia siku yake yakuzaliwa akiwa nyumbani kwake pamoja na ndugu zake. Tukio hili lilitokea jana maeneo ya Sinza Mori anapoishi Diamond na kupata surprise kibao kutoka kwa dada zake pamoja na mchumba wake Penniel.
 
Picha zaidi ingia HAPA

No comments: