22.11.13

Saturday, October 05, 2013

(Photo's) Jiachie na Camera ya DJCHOKAblog kwenye pre birthday party ya NANDO

 Usiku wa kuamkia leo ambapo ndio anakumbuka siku yake yakuzaliwa mshiriki wa Big Brother The Chase kutoka Tanzania AMMY NANDO alikuwa ameanza kusherehekea siku hii muhimu kwake akiwa na marafiki zake aliowaalika kwenye mjengo mmoja mkubwa hivi uliopo maeneo ya Mikocheni B. Pia Nando aliwaalika washiki wenzake wawili ambao walikuwa wote kwenye jumba hilo la Big Brother na si wengine ni BIMP
 na BEVERLY


 Mwenye njano tshirt ni Beverly,  Nando and Bimp hapa ndio walikuwa wameingia kutokea Airport

No comments: