Tayari wakazi wa Ruvuma wameanza
kuishuhudia kampeni ya Nani Mtani Jembe ambayo inaendelea katika sehemu
mbalimbali na kwa sasa iko Songea. Kama wewe ni shabiki wa Simba au
Yanga usikose kujisogeza uweze kushindana na watu wako na kujipatia
zawadi
No comments:
Post a Comment