22.11.13

Tuesday, October 01, 2013

(Photo's) The making of music video PIGA MAKOFI by MCHIZI MOX

 Mchizi Mox msanii mkongwe katika hili game la bongo hip hop na pia anatokea kundi la WATEULE, juzi alikuwa anashoot video yake mpya inayoitwa PIGA MAKOFI. Video hii imeshutiwa na Image Array Production chini ya Dir Abby Kazi.

No comments: