22.11.13

Thursday, October 03, 2013

(Photo's) The Making of music video NIMEVURUGWA by SNURA

 Leo mchana msanii mwenye Majanga yake na kisha Akavurugwa anaitwa SNURA alikuwa akishoot video yake mpya inayoitwa NIMEVURUGWA maeneo ya Kigamboni sehemu moja inatwa Kijiji Beach. Video hii ilikuwa ikisimamiwa na Dir Meja

Mtu mzima Dude aka Yahaya nae alikuwepo kwenye video ya Snura Nimevurugwa sijui kwenye video atakuwa amefanya nini ndani

No comments: