22.11.13

Thursday, October 03, 2013

(Photo's) OMMY DIMPOZ ATEMBELEA UBALOZI WA TANZANIA NCHINI MAREKANI NAKUZUNGUMZA NA MAMA BALOZI MULA MULA !

Mwanamuziki Ommy Dimpoz akitia Signature kitabu cha wageni Ubalozi wa Tanzania Washington DCOmmy Dimpoz akiwa na Mheshimiwa Balozi Mulamula na Promoter wake DMK ambaye pia ni Mkurugenzi wa MMK Media Group kampuni inayomiliki Swahili Radio online,Swahili Tv online,Swahilitv blog,na DMK411 blog

Mheshimiwa Balozi katika Poz na Poz kwa Poz 

KWA PICHA ZAIDI BOFYA SWAHILITV BLOG

No comments: