22.11.13

Monday, October 07, 2013

(Photo's) Show ya CHIDI BEENZ iliyofanyika usiku wa kuamka leo pale CLUB BILICANAS

 Mtu mzima Chidi Beenz aka Chuma usiku wa kuamkia leo alionyesha kuwa yeye bado ni chuma pale alipoingia kwenye steji ya Bilicanas na kukamua nyimbo zake zile kali na zilizoshika kwa wananchi. Huku akionyesha kufurahishwa na mashabiki wake waliofika alionekana mwenye furaha sana wakati wote akiimba kwa steji. Wasanii wengine waliomsindikiza Chidi Beenz ni pamoja na TID, Linex na wengine kibao.


No comments: