22.11.13

Saturday, October 26, 2013

(Video+Audio) Warriors From The East - Kaskazini Noma

Official release ya Video + Audio ya reggae dancehall toka kwa washindi wa tuzo za reggae 2012/13 "Warriors From The East", Ngoma ikiwa inakwenda kwa jina "Kaskazini Noma" tazama VIDEO HAPA na pia sikiliza/download official audio yake HAPA kwa mawasiliano zaidi check na warriors kupitia +255 765 789 373 au +255 784 152 766 powered by www.vmgafrica.com
--
Warriors-Kaskazini Noma [Video] https://www.youtube.com/watch?v=INfuWPy9pD8
Warriors From The East-Kaskazini Noma [Audio]  http://goo.gl/pvazFz

No comments: