DocaMoney ni Msanii toka Chugga ambaye mwanzoni
alikuwa akitambulika kwa jina la Docca man na kwa sasa ameongeza Swagg
kwenye jina lake na kuwa DocaMoney na kupitia jina la DoccaMan alifanya
Poa kupitia nyimbo zake kama Swagg On, A city Blood na Ye Ndo Wangu ft
Makamua ambazo zilifanyika NoizMekah chini ya Producer Dx na kwa sasa
amekuja na ladha nyingine toka Dar kwa mtu mzima Lamar ndani ya studio
za FishCrub.
Huu ni wimbo wake Mpya ambao ameubariki
jina la ROHO MBAYA na humu kati Kamshirikisha mmoja kati ya Member wa
Wakali kwanza JOSLIN.
Pata kuusikiliza na kuudownload wimbo huo hapa chini
KUSIKILIZA NA KUDOWNLOAD CLICK LINK HII http://old.hulkshare.com/ncl0fereercw
Unaweza pia kusikiliza au kudownload kwa ku click HAPA
UNAWEZA KUMSOMA ZAIDI DOCAMONEY KWENYE FACEBOOK HAPA
No comments:
Post a Comment