Tungejua
ya mbele imefanyika mzuu rec na amefanya hamaguy wa solid,ft mary
lucos na gucci bandana.Ngoma inazungumzia mambo yanayotutokea wanadamu
pasipo sisi kutegemea na mara nyingi tukitokewa na jambo baya huwa
tunabaki kusema dah ningejua, hivyo nimeandika wimbo nakusema laiti
tungejua ya mbele labda tungeepuka labda yasingetukuta na labda
tusingefanya yale. Hii ni ngoma ya muendelezo wa solid ground family
baada ya kutoka na bush party,happy birthday,tozi mpya na sasa tungejua
ya mbele
No comments:
Post a Comment