(Audio) Noorah ft. Dully Sykes & Chegge - Acha ushamba
Kuna
watu flani huona wakiongea kitu flani au wakifanya jambo flani mbele ya
jamii wataonekana wajanja sana na kumbe ndio wanajichoresha sana.
Mfano jamaa anayejisifia kuwa siku za nyuma alishapita na dem/mke wa tu flani
, akidhani watu watamuona ye mjanja sana wakatu hizo story ni past
tense na hazina madhara yoyote kwa muda huu. Huo ni ushamba. Au jamaa
kisa anavuta bangi basi ndio kila mtu ajue ye mvutaji, ushamba huo. Na
mengine mengi tu.
Fanya hivi, Download ngoma hii uone mtazamo wa Noorah kwenye
mambo anayoona ni ya kishamba na natumai utaburudika vya kutosha tu.
No comments:
Post a Comment