Mambo Vp Wadau...Pateni ujumbe huu unaoitwa "MACHALE YAMENICHEZA"..Hii
ngoma ni ya Biggie Boss akiwa amewashirikisha Saigon kutoka Diplomats na
Mchizi Mox kutoka Wateule..Ngoma hii ni Inspiration kutokana na majanga
yaliyotukuta kwa mfulizo mwaka huu katika mziki wetu wa hiphop
bongo..Ujumbe mkubwa ni kwamba "hakuna maisha mengine zaidi ya haya kwa
hapa duiniani kwahiyo tujitahidi kuishi kwa kuyajali maisha yetu hasa
upande wa vilevi haramu"...Pamoja sana na tunaomba support yenu
kusambaza ujumbe huu...
SONG: MACHALE YAMENICHEZA
ARTIST: BIGGIE BOSS FT. SAIGON & MCHIZI MOX
No comments:
Post a Comment