Greetings everybody,…Hope Y’all are doin’ Great…We all
Grateful here…Givin’ Thanx N Praises
To The Most High…Got Some great Newz 4 Y’all,heres the
Bulletin,…Kwa Wadau,Wapenzi,
Mashabiki wa Hip Hop,Tongwe Rec. inawaletea Mc wa Kike…Baada
ya Muda mrefu kwenye
Hizi Harakati za Hip Hop.… BROWN SUGAR ft G NAKO, TOXIC, JOS MTAMBO - HAINA KWERE …….Fresh from
A-Town,wit’ Fresh Flows,Swag,Clarity.
Midanando,Flow nzuri,huria,yenye kuvutia wasikilizaji, Ya
Kijanja pamoja na Ubunifu,…
Tunawaomba kwa Pamoja Tuungane,Tusaidiane,Tushirikiane kwa
kulijenga Taifa Letu…
Naamini Tumesomeka….AU SIO?(Watu:Au Sio)…
No comments:
Post a Comment