22.11.13

Tuesday, November 05, 2013

(New Audio) Stopa The Rhymecca ft. Juma Nature - Wasiwasi

Ngoma mpya kutoka kwa Hip Hop honcho from r chuga Arusha, Stoppa The Rhymecca inayoitwa "Wasiwasi" Featuring Juma Nature ikiwa ni Production ya Sheidon Q The Don a.k.a The Mall. Hii ni single ambayo ni ya mwisho kutoka kabla ya Album ya Stopa inayoitwa "Hapa Nilipo" album ambao itakuwa na nyimbo zaidi ya 15 zikiwemo ngoma ambazo zilishatoka kama "Boom bye bye, New Flava, Nimevurugwa faet Joh Makini. Wasanii walioshirikishwa kwenye album hiyo ni pamoja na Domokaya, Juma Nature na Waturutumbi, ngoma zikiwa zimefanywa na producers kama Villy, G Kifaa, Magnet na huku kazi kubwa zaidi ya 80% ikiwa imefanywa na Q. Pia itakuepo ngoma yake ya kwanza kurekodi iliyorekodiwa 1998 katika studio za Sound Crafters chini ya mtayarishaji wa mapigo ya muziki The Legend Endrico, katika album hiyo kutakuwa na bonus track tatu,wiki ijayo Stopa atataja track list na siku ya kutoka album...Take your time kuisikiliza Wasisi huku ukiisubiria album ya Stopa "Hapa Nilipo" itakayotoka siku za karibuni...Pia usupport kwa kupata copy yako original.

No comments: