22.11.13

Tuesday, November 05, 2013

(News) BODABODA 80 ZA VODACOM ZAZIDI KUTIMKA BADO 350

 Meneja Uhusiano wa Umma wa Vodacom Tanzania Bw.Matina Nkurlu(kulia)akimfungia kamba ya kofia ngumu”Helment”Mshindi wa Promosheni ya “Timka na BodaBoda mkazi wa Morogoro Yusuph Ismail(kushoto) baada ya kumkabidhi pikipiki yake leo.Jumla ya washindi(80)wamejishindia Bodaboda na(47)wamejinyakulia fedha taslimu.Ili kujiunga na Promosheni hiyo tuma neno Promo kwenda 15544.

 Mshindi wa Promosheni ya “Timka na BodaBoda”Mkazi wa Morogoro Bw.Yusuph Ismail akiondoka na Pikipiki yake baada ya kukabidhiwa na Meneja Uhusiano wa Umma wa Vodacom Tanzania,Bw.Matina Nkurlu anaemwelekeza njia (kulia) wakati wa kuchesha droo ya Promosheni hiyo. Jumla ya washindi(80)wamejishindia Bodaboda na(47)wamejinyakulia fedha taslimu.Ili kujiunga na Promosheni hiyo tuma neno Promo kwenda 15544.

 Meneja Uhusiano wa Umma wa Vodacom Tanzania,Bw.Matina Nkurlu(kulia)akimukabidhi funguo ya pikipiki mkazi wa Morogoro,Bw.Yusuph Ismair aliejishindia katika Promosheni ya “Timka na BodaBoda”inayoendeshwa na kampuni hiyo,wakati wa kuchesha droo ya Promosheni hiyo.Jumla ya washindi(80)waliojishindia Bodaboda na(47)wamejinyakulia fedha taslimu.Ili kujiunga na Promosheni hiyo tuma neno Promo kwenda 15544. Kushoto ni  Afisa huduma za ziada wa kampuni hiyo Rashid Maggid.

 Meneja Uhusiano wa Umma wa Vodacom Tanzania,Bw.Matina Nkurlu(kushoto)akimuelekeza jinsi ya kutumia ”Side mirror” Mkazi wa Morogoro mjini Bw.Yusuph Ismair ambaye ni mshindi wa  Promosheni ya “Timka na BodaBoda,baada ya kumkabidhi pikipiki yake,wakati wa kuchezesha droo ya Promosheni hiyo.Jumla ya washindi(80)wamejishindia Bodaboda na(47)wamejinyakulia fedha taslimu katika Promosheni hiyo.Ili kujiunga na Promosheni hiyo tuma neno Promo kwenda 15544. Kulia ni Afisa huduma za ziada wa kampuni hiyo Rashid Maggid.

Msimamizi wa bodi ya michezo ya kubahatisha Humudi Abdulhussein(kulia)pamoja na Afisa huduma za ziada wa Vodacom Rashid Maggid(katikati)wakioneshwa namba ya simu na  Meneja Uhusiano wa Umma wa Vodacom Tanzania,Bw.Matina Nkurlu(kulia)wakati wakichezesha droo ya “Timka na BodaBoda”washindi 80 wamejishindia pikipiki katika Promosheni hiyo,ili kujiunga na promosheni hiyo mteja anatakiwa kutuma neno Promo kwenda 15544.

2 comments:

Anonymous said...

hi..mimi nataka kushinda m400..inakuwaje...sio msikilizaji waredio au tv lakin internet ndo sana..let me know

Anonymous said...

matapeli hao zawad wanawapa ndugu zao na washkaji zao hakuna promo hapo matapeli haooo,.