Dj mkali wa redio Clouds anatarajia kuachia singo yake
ya pili katika pati ya birthday yake Novemba 19.
Ngoma ya kwanza alimshirikisha msanii Fidempa wa nchini Kenya iitwayo Tell
me Why nay a ataizindua inaitwa No Love ft.Linnah,
Kitokololo na Arlo-nayme ambayo aliifanyia katika studio ya Kwanza Records.
No comments:
Post a Comment