22.11.13

Tuesday, November 05, 2013

(News) Habari njema kutoka kwa D'KNOB

Msanii wa Hip Hop nchini D'Knob amefungua kampuni yake inayoitwa MITAANI MOST WANTED itakayojihusisha na utoaji wa Miradi pamoja na Entertainment.
 D'KNOB anasema "Kwa kifupi Mitaani Most Wanted ni kampuni ya miradi na entertainment. Baadhi ya miradi inayofanya mpaka now ni ule wa Marco Chali Foundation wa Epic open mic, Mwana DSM ya Mussa Hussein na clients wengine kama Lamar na Man Water".
 
Zaidi soma web hii www.mitaanimostwanted.co.tz

No comments: