22.11.13

Friday, November 01, 2013

(News) Hivi una habari kuwa Babaz NOORAH anarudi...??? sasa unajua safari hii anarudi akiwa na nani...? SOMA HII.

Get ready for a brandy new song kutoka Kwa mwanachember Noorah ft Dully Sykes and Chege production ikiwa ya Producer MbeZi Track inaitwa ACHA USHAMBA.