22.11.13

Thursday, November 14, 2013

(News) KCB BENKI YAENDESHA MAFUNZO KWA WAJASIRIAMALI

 Mkurugenzi Mtendaji wa KCB Tanzania,Bw.Moezz Mir akifungua semina ya wajasiriamali wadogowadogo na wakati ikiwa na lengo la kuwaelimisha jinsi ya kufanyabiashara na kutumia mikopo kwa njia sahihi,Semina hiyo iliyoandaliwa na benki hiyo itafanyika kwa siku mbili jijini Dar e Salaam.

 Baadhi ya wajasiriamali wadogowadogo na wakati wakimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa KCB Tanzania,Bw.Moezz Mir(hayupo pichani)wakati akifungua semina kwa wajasiriamali hao ikiwa na lengo la kuwaelimisha jinsi ya kufanyabiashara na kutumia mikopo kwa njia sahihi,Semina hiyo iliyoandaliwa na Benki hiyo itafanyika kwa siku mbili jijini Dar e Salaam.

 Mkufunzi wa ujasiriamali Bw.Peace Lumelezi akitoa mada katika semina ya wajasiriamali wadogowadogo na wakati ikiwa na lengo la kuwaelimisha jinsi ya kufanyabiashara na kutumia mikopo kwa njia sahihi,Semina hiyo iliyoandaliwa na benki hiyo itafanyika kwa siku mbili jijini Dar e Salaam.

No comments: