22.11.13

Tuesday, November 05, 2013

(News) MAWAKALA WA M-PESA WAENDELEA KUJIZOLEWA FESA KUPITIA PROMO YA MKWANJA KWA WAKALA

Amina Issa, Mkazi wa Tumbaku Morogoro ambae pia ni wakala wa M – Pesa akipokea hundi ya shilingi laki 100000, kutoka kwa Meneja wa Vodacom kanda ya kati Nguvu Masapila, baada ya kujishindia kutoka katika Promosheni ya Mkwanja kwa Wakala yenye lengo la kuboresha maisha ya mawakala wa kampuni ya Vodacom. Hadi sasa kampuni hiyo imetoa fedha taslimu kiasi cha shilingi Milioni 81 na vyetri kwa mawakala 810 wa M-pesa nchini ikiwa ni sehemu ya kutambua na kuthamini Mchango wao kwa jamii ya watanzania na kampuni hiyo. Pamoja nao katika picha ni Mkaguzi wa Mawakala Ahmed Kaunda.

 Wakala wa Vodacom M  - Pesa Amina Issah Mkazi wa Tumbaku Mkoani Morogoro akifurahi mbele ya biashara yake punde baada ya kukabidhiwa mfano wa hundi yake yenye thamani ya shilingi 100,000 aliyojishindia katika Promosheni ya “Mkwanja kwa Wakala”yenye lengo la kuboresha maisha ya mawakala wa kampuni ya Vodacom. Hadi sasa kampuni hiyo imetoa fedha taslimu kiasi cha shilingi Milioni 81 na vyetri kwa mawakala 810 wa M-pesa nchini ikiwa ni sehemu ya kutambua na kuthamini Mchango wao kwa jamii ya watanzania na kampuni hiyo.

Wakala wa Vodacom M  - Pesa Ramadhan Juma, Mkazi wa Nane Nane, Morogoro akifurahi mbele ya biashara yake punde baada ya kukabidhiwa hundi yake yenye thamani ya shilingi 100,000 aliyojishindia katika Promosheni ya “Mkwanja kwa Wakala”yenye lengo la kuboresha maisha ya mawakala wa kampuni ya Vodacom. Hadi sasa kampuni hiyo imetoa fedha taslimu kiasi cha shilingi Milioni 81 na vyetri kwa mawakala 810 wa M-pesa nchini ikiwa ni sehemu ya kutambua na kuthamini Mchango wao kwa jamii ya watanzania na kampuni hiyo.

 Rodrick Eliabu, Mkazi wa Kichangani mjini, Morogoro  akiwa mwenye furaha mbele ya biashara yake punde baada ya kukabidhiwa hundi yake yenye thamani ya shilingi 100,000 aliyojishindia katika Promosheni ya “Mkwanja kwa Wakala” yenye lengo la kuboresha maisha ya mawakala wa kampuni ya Vodacom. Hadi sasa kampuni hiyo imetoa fedha taslimu kiasi cha shilingi Milioni 81 na vyetri kwa mawakala 810 wa M-pesa nchini ikiwa ni sehemu ya kutambua na kuthamini Mchango wao kwa jamii ya watanzania na kampuni hiyo.

  Bwana, Ramadhani Juma (Katikati) Mkazi wa Nane Nane Morogoro, akipokea hundi ya shilingi laki 100000, kutoka kwa Meneja wa Vodacom kanda ya kati Nguvu Masapila, baada ya kujishindia kutoka katika Promosheni ya Mkwanja kwa Wakala yenye lengo la kuboresha maisha ya mawakala wa kampuni ya Vodacom. Hadi sasa kampuni hiyo imetoa fedha taslimu kiasi cha shilingi Milioni 81 na vyetri kwa mawakala 810 wa M-pesa nchini ikiwa ni sehemu ya kutambua na kuthamini Mchango wao kwa jamii ya watanzania na kampuni hiyo. Pamoja nao katika picha ni Mkaguzi wa Mawakala Ahmed Kaunda.

Bwana, Rodrick Eliabu (Katikati) Mkazi wa Kichangani Morogoro, akipokea hundi ya shilingi laki 100000, kutoka kwa Meneja wa Vodacom kanda ya kati Nguvu Masapila, baada ya kujishindia kutoka katika Promosheni ya Mkwanja kwa Wakala yenye lengo la kuboresha maisha ya mawakala wa kampuni ya Vodacom. Hadi sasa kampuni hiyo imetoa fedha taslimu kiasi cha shilingi Milioni 81 na vyetri kwa mawakala 810 wa M-pesa nchini ikiwa ni sehemu ya kutambua na kuthamini Mchango wao kwa jamii ya watanzania na kampuni hiyo. Pamoja nao katika picha ni Mkaguzi wa Mawakala Ahmed Kaunda.

No comments: