22.11.13

Saturday, November 16, 2013

(News) SALHA ISRAEL ATEMBELEA KAMBI YA TANZANIA TOP MODEL 2013

 Salha Israel mrembo alieng'ara miaka ya 2011 katika mashindano ya urembo nchini,akiongea na washiriki wa Tanzania Top Model 2013 namna ya kujiamini wakiwa katika jukwaa na kujibu maswali endapo watakabiliana na vyombo vya habari.

 Washiriki wakimsikiliza kwa makini Salha Israel wakati akiongea nao.

 Washiriki wakiwa katika picha ya paoja na Salha Israel.

No comments: