22.11.13

Monday, November 11, 2013

(News) Shinda GALAXY NOTE 3 na #VodacomPSquare

Rekodi video yako ukiwa unaimba wimbo wowote wa P-Square
Iweke katika ukurasa wako wa instagram ukitumia #VodacomPSquare 
Fuatilia ukurasa wetu wa Facebook, Twitter na Instagram.
Mwisho wa shindano ni tarehe 21/11/2013
Alika marafiki zako wa ‘LIKE’ video yako. Video yenye likes nyingi itajishindia Galaxy Note 3!
 
*Vigezo na masharti kuzingatiwa*

No comments: