22.11.13

Tuesday, November 05, 2013

(News) Taarifa muhimu kwa wanakamati wote waliofanikisha msiba wa ALBERT MANGWEHA

Wanakamati wote ambao walifanikisha mazishi ya ndugu yetu marehemu Albert Mangweha aka CowBama mnataarifiwa kufika kwenye kikao kitakachofanyika siku ya Jumamosi tarehe 9.11.13 saa 9 alasiri pale Leaders Club Dar es Salaam. Mnaombwa wanakamati wote mfike siku hiyo kuna jambo muhimu lakuongelea, ukipata ujumbe huu mtaarifu mwanakamati mwenzako

No comments: