22.11.13

Thursday, November 14, 2013

(News) TAMASHA LA MTIKISIKO LILOKUWA LIFANYIKE MBEYA JUMAMOSI HII LIMEHAIRISHWA

Lile tamasha kubwa la MTIKISIKO lililokuwa likisubiriwa na wengi hapa mkoni Mbeya Jumamosi hii LIMEHAIRISHWA. Tamasha hili ambalo linaandaliwa na Radio Ebony FM iliyopo Iringa kila mwaka huwa linawapa burudani zakutosha wakazi wa Iringa na Mbeya lakini safari hii kwa upande wa Mbeya limehairishwa mpaka hapo tamko rasmi litakapotolewa kwamba ni lini au ndio halitofanyika kabisa kwa mwaka huu.

No comments: