22.11.13

Friday, November 08, 2013

(News) WASHIRIKI WA TOP MODEL 2013 WAINGIA KAMBINI JB BELMONT HOTEL

 Washiriki wanaowania taji Tanzania Top model wameingi kambini kwa muda wa mwezi mmoja ambapo kambi hiyo imeanza jana  katika Hotel ya JB Belmont kisha kuhamia katika hotel tofautitofauti. Jumla ya washiriki 20 wameingia kambini hapo wakitokea mikoa tofautitofauti ambapo ulifanyika usaili kuwapa wanamitindo hao.

No comments: