Naamini
ipo siku nasi Tanzania tutasimama Vyema Katika ramani hii ya muziki
Worldwide na kuipa sifa na Heshima zaidi East Africa yetu.... Eeeh
Mwenyez Mungu ibariki Tanzania, ibariki East Africa na Africa yetu kwa
ujumla.... #LastNight #Onset #NumberOneRemix #DiamondFtDavido #ClarencePeterBehindTheCamera
Meneja wa Tip Top Babu Tale akiwa na Davido wakati wa utengenezaji wa video hiyo ya Diamond pande za Lekki-Ikoyi (Lekkoyi) Bridge Lagos
No comments:
Post a Comment