Kama lilivyo jina lake,mwanadafada huyu leo aliamua kutoka na swag zake
kitofauti….kwa kuamua kuwafanyia surprise ya nguvu mashabiki wake kwa
kuwatembelea mitaani na kuwagawia zawadi kwenye hand bags zake na product yake
mpya ya manukato na audio cd
Akiongea na blog hii’THE FIRST LADY’’alifunguka namna
hii…”leo kuwaonyesha tofauti nimeamua kuwaletea swag hata watoto wa kiswazz na
wale mashabiki wangu wa hali ya chini wafeel poa na kushare love pamoja ma
motto ni ‘’SMELL LIKE ME,FEEL LIKE ME AND VE SWAGG LIKE ME!......STAY TUNED!!!!
No comments:
Post a Comment