Machapta Inc yaanza kushout video ya Chismo inayoitwa
Chuchuchu! Audio yake imetengenezwa chini ya muandaaji wa Bongo flevar Mesen Selector..........
na hii video inafanywa na kampuni ya Xtreem Videoz Directors Geofrey na Johzey.
Leo video hii inaendelea kwenye hatua ya pili mjini Posta Dar es salaam.
No comments:
Post a Comment