Watalii kutoka nchi mbalimbali
wakicheza pamoja na washereheshaji wa kampeni ya ‘Nani Mtani Jembe’
inayohusisha mashabiki Simba na Yanga, ili kuzipigia kura timu zao na
kushinda kitita kingi kati ya Tsh.100 milioni zilizotelewa na bia ya
Kilimanjaro Premium Lager ambao ndio wadhamini wa timu hizo na timu ya
Taifa. Timu hiyo ipo kanda ya Kaskazini na Mashariki inayojumuisha mikoa
ya Arusha, Kilimanjaro, Singida na Tanga. Watalii hao walikuwa
wakitembelea maeneo mbalimbali mkoani Arusha
No comments:
Post a Comment